VoxDash

Kiongozi wa wasioamini Mungu amtetea Maraga, adai anachafuliwa jina tu

Kiongozi wa chama cha watu wasiomuamini Mungu Harrison Mumia amemtetea Jaji Mkuu David Maraga kufuatia madai kuwa amemtelekeza mtoto wa miaka 6 aliyemzaa nje ya ndoa Mumia alisema madai aliyoyatoa Mary Kwamboka kwenye video ambayo imesambaa mitandaoni akimkashifu Maraga kwa kukosa kuwajibikia mtoto huyo ni uwongo mtupu. Habari Nyingine: Wezi wachimba ukuta wa Benki ya K Unity na kujaribu kuiba pesa Kulingana na Mumia, mwanamke huyo anatumiwa na wakosoaji wa Maraga ili kumharibia jina ikizingatiwa amekuwa akishinikizwa na baadhi ya viongozi serikalini ajiuzulu.

Kunle Adewale: August 2 declared as his day in the US

- Kunle Adewale, a Nigerian artist, has received big international recognition in the United States - August 2 was declared as the Kunle Adewale Day for his contribution to arts and medicine in Cincinnati - The artist said the recognition shows his passion for work and added that he is dedicated to serving humanity Kunle Adewale, a Nigerian artist, has been honoured with a day dedicated to the impact he has made in both the fields of art and medicine.

Nusra Wavinya Ndeti na Johnstone Muthama Walimane Ngumi Mazishini

Kisa hicho cha aibu kilitokea mnamo Ijumaa, Agosti 20 wakati wa mazishi ya Mze James Muthama babake Ulbanus MuthamaWavinya aliwasuta washirika wa UDA, Muthama na wabunge Vincent Musyoka na Victor Munyaka, kwa kumuunga mkono DP Ruto badala ya KalonzoMuthama, ambaye alikuwa amechemka aliwazomea vikali wanasiasa wa Wiper kwa kumwabudu Kalonzo Katibu wa Kudumu katika Wizara ya Uchukuzi Wavinya Ndeti na Mwenyekiti wa United Democratic Alliance (UDA), Johnstone Muthama walibishana vikali nusra watandikane katika hafla ya matanga huko Machakos.

Top 10 highest-paying airlines in the world for pilots in 2022

The highest-paying airlines for pilots are the best working environments worldwide. Since every aviation enthusiast would love to be part of their staff, they receive millions of applications from job seekers but only hire the best. The best paying airlines for pilots have a high demand from customers because they hire the most brilliant and dedicated staff who maintain incredible levels of professionalism. These airlines also frequently train employees to equip them with skills that match the ever-advancing aviation technologies.

Enugu massacre was planned in Kogi state - suspect confesses

- Suspect reveals that their members were recruited from over six states - Explains that over 100 of them were assembled to carry out the attacks on the Enugu community - Adds also that their attacks were planned in Kogi state before the d-day One of the Fulani herdsmen who allegedly participated in the Enugu massacre has made shocking revelations in police custody, Saturday Sun reports. The rampaging herdsmen had killed over 50 people in a recent attack on an Enugu community, a situation which has left many tongues wagging about the dangers posed by the rustlers' continuous attacks.